1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchambuzi: je, uchaguzi unaweza kufanyika Zanzibar sasa?

Carolyne Robi Tsuma4 Januari 2016

Zanzibar ikiwa bado katika mkwamo wa kisiasa Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Said Ali Iddi, alisema uchaguzi utafanyika visiwani humo kama ilivyotangazwa na Tume ya Uchaguzi na kwamba tayari serikali yake imeshapanga bajeti ya uchaguzi huo. Wakati huo huo chama cha upinzani CUF kinasema hakitashiriki uchaguzi mwingine. Sikiliza mahojiano na Rais wa Chama cha Wanasheria Zanzibar, Omar Said Shaban

https://p.dw.com/p/1HXYl