1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi wa rais wafanyika Somalia

Bruce Amani Alakonya/MM T8 Februari 2017

Uchaguzi wa rais nchini Somalia umeingia duru ya pili baada ya kuanza Jumatano (09.02.2017) ukiwa na wagombea 21 na sasa ni watatu mbao wamefuzu katika duru ijayo. Usalama katika mji mkuu, Mogadishu umeimarishwa maradufu kutokana na kitisho cha mashambulizi kutoka kundi la waasi la Al Shabaab. Caro Robi amezungumza na Isnina Jelle.

https://p.dw.com/p/2XBVY