1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi wa rais wa Uturuki kuingia duru ya pili Mei 28

Daniel Gakuba
16 Mei 2023

Uchaguzi wa rais wa Uturuki umeshindwa kumpata mshindi wa moja kwa moja katika duru ya kwanza, na kwa hivyo, wagombea wawili waliopata kura nyingi zaidi wanaingia katika duru ya pili itakayofanyika tarehe 28 mwezi Mei. Mapambano ni kati ya Kiongozi wa sasa, Rais Recep Tayyip Erdogan na mpinzani Kemal Kilicdaroglu kwa kura nyingi. Mwangaza wa Ulaya inaangazia hilo. Mtayarishaji ni Daniel Gakuba

https://p.dw.com/p/4RQ4u