1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaRwanda

Uchaguzi wa rais Rwanda: Kuna cha tofauti mara hii?

5 Julai 2024

Wanyarwanda watapiga kura mwezi Julai 15 kuchagua kati ya wagombea watatu wa urais, akiwemo Rais wa sasa Paul Kagame, ambaye amelitawala taifa hilo dogo la Afrika Mashariki kwa mkono wa chuma kwa miongo kadhaa. Je, uchaguzi wa safari hii utakuwa na cha tofauti?

https://p.dw.com/p/4hvg8