1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani walia kwa kuibiwa kura Zimbabwe

25 Agosti 2023

Miongoni mwa yaliyomo katika Afrika wiki hii ni Uchaguzi wa Zimbabwe unaotajwa na waangalizi wa SADC kwamba haukuzingatia vigezo na kanuni za sheria ya uchaguzi na katiba.Niger,Mali na BurkinaFaso zaunda muungano wa kijeshi kuitetea Niger itakapovamiwa.Na mkutano wa Brics wazikaribisha miongoni mwa nyingine, nchi mbili za Afrika kuwa wanachama wapya.Jiunge na Saumu Mwasimba katika makala hii

https://p.dw.com/p/4VasM