1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchafuzi wa hewa barani Ulaya

Mohammed Abdulrahman Mohammed15 Novemba 2018

Uchafuzi wa hewa nchini Poland unasababisha matatizo ya kupumua. Lakini tatizo hilo la uchafuzi wa hewa haliikumbi Poland pekee bali kadhaa. Hali inayoibua swali la hewa safi na nzuri hupatikana wapi? Katika Makala ya Mwangaza wa Ulaya, Mohammed Abdul-Rahman anaangazia suala hilo kwa kina pamoja na madhara yake, huku akiwashirikisha wadau mbalimbali.

https://p.dw.com/p/38Icx