1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ubunifu wa mitindo ya mavazi Dar es Salaam

22 Februari 2021

Katika juhudi za kujiinua na pia kuinua viwango vya ubunifu wa mitindo ya mavazi nchini Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla, kundi hili la vijana wanafanya kila hatua kuboresha ubunifu wao kila kukicha. Ahmad Juma anasimulia zaidi kwenye vidio hii ya Kurunzi

https://p.dw.com/p/3pgz5