1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uamuzi wa Mahakama ya Uingereza una athari gani kwa Rishi Sunak?

15 Novemba 2023

Uingereza na Rwanda zilisaini makubaliano Aprili 2022 wa kuwapeleka Rwanda baadhi ya wahamiaji wanaowasili Uingereza kupitia ujia wa bahari ya Atlantiki. Ahmed Rajab ni mchambuzi wa masuala ya Kimataifa anajadili hilo katika mahojiano na Sudi Mnette.

https://p.dw.com/p/4YqGf