1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tumeridhishwa na uchaguzi wa marudio - CCM

Mohammed Khelef20 Machi 2016

Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar kinasema kimeridhishwa sana na jinsi Tume ya Uchaguzi ya visiwa hivyo (ZEC) ilivyoondesha kile kinachoitwa "uchaguzi wa marudio" wa Machi 20, kikiamini kuwa ZEC imejirekebisha pakubwa kulinganisha na ule wa Oktoba 25.

https://p.dw.com/p/1IGdl