1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tumbuizo la kushinikiza magofu ya Mbuti yarejeshwe DRC

23 Machi 2023

“Mizimu inarejea” ni tumbuizo la muziki linalounganisha mambo ya kale na sasa. Husimulia kisa cha magofu saba yaliyotolewa Kongo miaka ya 1950 na daktari wa Uswisi na kupelekwa Ulaya. Wasanii wanataka mabaki hayo yarudishwe, lakini baadhi ya wakaazi wanaogopa ‘mizimu’ itawafuata

https://p.dw.com/p/4P8CW