1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tuchel kuondoka Bayern Munich mwisho wa msimu

Josephat Charo
21 Februari 2024

Klabu ya Bayern Munich itaachana na kocha wake mkuu Thomas Tuchel mwishoni mwa msimu huu ambao umeonekana kuwa na matokeo mabaya ya kuvunja moyo kulingana na viwango vyao. Je, Bayern itaathirika vipi na ni nani atakayechukua mikoba kutoka kwa Tuchel? Saumu Njama anazungumza na Josephat Charo na kwanza wanaangalia athari za kuondoka kwa Tuchel kwa kikosi cha Bayern.

https://p.dw.com/p/4chHp