1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Teknolojia ya kuyageuza mabibo kuwa nyama ya mishikaki

1 Desemba 2021

Wakulima Tanzania wamegundua teknolojia mpya ya kubadilisha mabibo kuwa nyama, inayoweza kutengenezwa mishikaki na bidhaa nyingine. Salma Mkalibala anasimulia zaidi kwenye #Kurunzi

https://p.dw.com/p/43gof