1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tatu Mzuka, kukomesha uhalifu Arusha

Veronica Natalis
20 Mei 2022

Kulingana na matukio ya uhalifu ambayo yamekuwa yakifanywa na baadhi ya vijana, kundi la sanaa linalojiita tatu mzuka limechukua jukumu la kuelimisha jamii kuanzia ngazi ya familia na mtu mmoja mmoja ili kuhakikisha matendo ya uhalifu yanakomeshwa na kuwa na jamii ilio salama.

https://p.dw.com/p/4Bdrx