1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tatizo la Usubi na madhara yake kwa mgonjwa

Neema Misheki Mwandunga13 Mei 2022

Ni miongoni mwa magonjwa yasiopewa kipaumbele katika jamii nyingi ulimwenguni, huathiri kwa taratibu tangu maradhi hayo yanapoweka kambi kwenye mwili wa mgonjwa, miongoni mwa madhara makubwa zaidi ni upofu kwa mgonjwa.sikiliza makala ya Afya Yako na Neema Misheki.

https://p.dw.com/p/4BHBK