1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yasaini mikataba ya madini kampuni nne za kigeni

Hawa Bihoga
13 Desemba 2021

Serikali ya Tanzania imesaini mikataba minne ya uwekezaji yenye thamani ya dola milioni 763 na kampuni tatu za uchimbaji madini kutoka Australia na moja kutoka Uingereza. Hii ikiwa ni muendelezo wa kutilia mkazo sheria yake mpya ya madini inayotaka serikali kuwa na ubia wa asilimia kumi na sita. Mwenzangu Hawa Bihoga amezungumza na waziri wa madini Dotto Biteko

https://p.dw.com/p/44CHh