SiasaTanzania yaondoa hofu ya fununu za shambulizi Dar es SalaamTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasa20.06.201920 Juni 2019Serikali ya Tanzania kupitia waziri wake wa mambo ya ndani Kangi Lugola imeondoa hofu kwa Watanzania juu ya tahadhari iliotolewa na ubalozi wa Marekani wa nchini Tanzania kuhusu kuwepo fununu za tishio la kufanyika shambulizi jijini Dar es Salaam. https://p.dw.com/p/3KlL3Matangazo