1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania na Zambia kupanua ulinzi katika bomba la mafuta

George Njogopa7 Desemba 2022

Tanzania na Zambia zimekubaliana kupanua ulinzi wa kimkakati katika bomba la mafuta la Tazama hasa wakati huu ambako mataifa hayo yako mbioni kusafirisha nishati ya dizeli kutoka Bandari ya Dar es Salaam na kuelekea Lusaka. Sikiliza ripoti ya George Njogopa kutoka Dar es Salaam, Tanzania.

https://p.dw.com/p/4Kagg