SiasaTanzania: Mitandao ya kijamii na ujasiriamaliTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaMohammed Khelef10.11.201610 Novemba 2016Dar es Salaam, jiji kuu la kiuchumi na kibiashara nchini Tanzania, Mohammed Khelef alikutana na vijana wanaoshajiisha na kujihusisha na ujasiriamali jamii kupitia mitandao ya kijamii inayowakutanisha na mamilioni ya wenzao kote dunianihttps://p.dw.com/p/2SSauMatangazo