1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Bunge lapitisha miswada inayohusiana na uchaguzi

Lilian Mtono
2 Februari 2024

Bunge la Tanzania kwa kauli moja limepitisha miswada mitatu ya sheria inayohusiana na uchaguzi. Miswada hiyo mitatu ambayo imezua mjadala mkali na ukosoaji kutoka upande wa upinzani imepitishwa baada ya mjadala wa siku tatu. Lilian Mtono amezungumza na John Mnyika, Katibu Mkuu wa chama kikuu cha upinzani cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.

https://p.dw.com/p/4bygF