1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi za DW Kiswahili: 16.08.2020

V2 / S12S16 Agosti 2020

Viongozi wa Israeli walaani uamuzi wa baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wa kutoongeza muda wa marufuku ya silaha dhidi ya Iran; rais wa Belarus Alexander Lukashenko asema rais wa Urusi Vladimir Putin amejitolea kuhakikisha usalama nchini humo na Ufaransa yaitaka serikali ya Afghanistan kutowajumuisha wapiganaji walioshtakiwa kwa mauaji ya raia wake katika mkataba wa kuwaachia huru wafungwa.

https://p.dw.com/p/3h1xV