1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 27.11.2022

27 Novemba 2022

Ukraine yatangaza uzinduzi wa mpango wa msaada wa kimataifa unaoitwa ''Nafaka kutoka Ukraine, serikali ya Venezuela na upinzani nchini humo, zakubaliana kuunda hazina itakayosimamiwa na Umoja wa Mataifa na kiongozi wa Taiwan Tsai Ing-wen, ajiuzulu wadhifa wa uenyekiti wa chama chake cha Democratic Progressive

https://p.dw.com/p/4JijR