Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, asema nchi hiyo inahitaji kuimarisha ushirikiano wake na mataifa mengine mbali na yale ya Magharibi, mijadala mikali yaghubika kikao maalumu cha Umoja wa Mataifa kuhusu uvamizi wa Urusi nchini Ukraine na raia nchini Nigeria kushiriki zoezi la kupiga kura kumchagua mrithi wa Rais Muhammadu Buhari