1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 13.02.2022

13 Februari 2022

Rais wa Marekani Joe Biden amwambia mwenzake wa Urusi Vladmir Putin kwamba kuivamia Ukraine huenda kukababisha mateso mengi ya kibinadamu, Afghanistan yaghadhabishwa na Marekani kuhusu uamuzi wa fidia na jeshi la Ufaransa lawauwa wanamgambo 40 nchini Burkina Faso

https://p.dw.com/p/46wOQ