1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 8.12.2018

Yusra Buwayhid
8 Desemba 2018

Annegret Kramp-Karrenbauer achaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa CDU. Trump amshambulia Rex Tillerson kwa kumuita mjinga na mvivu. Shirika la Amnesty lasema watoto wahukumiwa adhabu ya kifo na kunyongwa Sudan Kusini.

https://p.dw.com/p/39hri