Vikosi vya Uturuki vinasonga mbele kwenye operesheni ya kijeshi dhidi ya wakurdi nchini Syria. China na Marekani zimefikia makubaliano ya awali ya kutisitisha vita vya kibiashara. Boris Johnson atawaomba wabunge waridhie makubaliano yoyote ya Brexit.