1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi 04.05.2019

Yusra Buwayhid
4 Mei 2019

Korea Kaskazini yarusha makombora ya kwanza tangu 2017. Trump azungumza kwa simu na Putin kuhusu silaha za nyuklia. Na, pande zinazozozana Sudan Kusini zaahirisha kwa miezi sita kuunda serikali ya umoja wa kitaifa.

https://p.dw.com/p/3HuuG