Watu zaidi ya 700 wameuawa katika mapigano ya Ukraine. Urusi yatangaza kuahirisha upigaji kura wa azimio juu ya hali ya kibinadamu nchini Ukraine. Na Waziri mkuu wa zamani wa Bulgaria akamatwa katika uchunguzi unaohusina na ofisi ya mwendesha mashtaka wa Umoja wa Ulaya.