1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 30.08.2022

Sylvia Mwehozi
30 Agosti 2022

Muhtasari wa habari: Ukraine yadai kusonga mbele katika mashambulizi mapya ya kuyadhibiti tena maeneo yake. Watu 15 wauawa katika ghasia za mjini Baghdad. Na Mapigano yaripotiwa Kaskazini mwa Ethiopia licha ya wito wa amani.

https://p.dw.com/p/4GCMa