Wabunge Israel waidhinisha bunge kuvunjwa na kuitisha uchaguzi mpya. Mchunguzi maalum wa Marekani Robert Mueller ametoa kauli inayoashiria kwamba ofisi yake ilishindwa kumfungulia mashitaka rais aliyeko madarakani. Pande zote Venezuela zashindwa kuafikiana katika mazungumzo ya Norway.