1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya Asubuhi 28.05.2019

Sylvia Mwehozi
28 Mei 2019

Kansela wa Austria Sebastian Kurz aliyeondolewa madarakani aapa kurejea na nguvu mpya. Watu wawili wanahofiwa kupoteza maisha huku wengine 17 wakijeruhiwa katika shambulio la uchomaji visu nchini Japan. Na Rais wa Malawi Peter Mutharika amethibitishwa na tume ya uchaguzi kushinda muhula wa pili madarakani.

https://p.dw.com/p/3JGJw