20 Julai 2022
Matangazo
Rais wa Urusi Vladimir Putin afanya mazungumzo na wenzake wa Uturuki na Iran mjini Tehran
Umoja wa Mataifa waonya kwamba mawimbi ya joto kama linaloikumba Ulaya hivi sasa yanaweza kugeuka kitu cha kawaida
Mali imetaka ufafanuzi juu ya uhusiano wa Ujerumani na wanajeshi wa Ivory Coast waliokamatwa mjini Bamako mwanzoni mwa mwezi huu