1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
5 Februari 2020

https://p.dw.com/p/3XHVV

-Chama cha Democratic nchini Marekani chatangaza matokeo ya kura ya mchujo jimboni Iowa, Biden apata pigo.

-Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres akemea alichokiita, ''upepo wa kiwendawazimu'' unaovuma Mashariki ya Kati.
 

-Rais wa Malawi Peter Mutharika asema ataka rufaa dhidi ya uamuzi wa mahakama wa kubatilisha ushindi wake.