Polisi Minneapolis yasema Mmarekani mweusi aliyepigwa risasi na polisi ameuwawa kwa bahati mbaya //Maafisa wa magereza Urusi watishia kuanza kumlisha chakula Alexei Navalny kwa lazima//Na katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ataka matajiri kutozwa kodi ya mshikamano na serikali zao.