1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 05.10.2020

5 Oktoba 2020

Rais wa Marekani, Donald Trump aliondoka kwa muda katika hospitali alikolazwa kwa ajili ya kuwasalimu wafuasi wake // Vikosi vya Armenia na Azerbaijan vimeshambuliana kwa maroketi na makombora kwenye eneo la Nagorno-Karabach // Shirika la Plan International limesema unyanyasaji wa mitandaoni umesababisha wasichana kuacha kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii

https://p.dw.com/p/3jQpz