1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Spika wa bunge Tanzania awaonya waandishi juu ya ripoti za uwongo

George Njogopa8 Juni 2023

Mjadala kuhusu serikali ya Tanzania kuwa mbioni kukodisha bandari zake kwa kampuni ya kigeni ya Dubai bado umeendelea nchini humo wakati spika wa bunge nchini humo, Tulia Akson akivionya vyombo vya habari juu ya kile alichosema kutoa taarifa za upotoshaji kuhusu suala hilo. George Njogopa kutoka Dar es Salaam alituletea ripoti ifuatayo.

https://p.dw.com/p/4SLW2