Kwa watu wengi ambao Kiswahili si lugha yao ya kwanza wanaweza kuona kwamba kuifahamu lugha hii na kufikia kiwango cha kuwa mshairi ni jambo gumu sana, lakini hivyo sivyo ilivyo kwa mshairi chipukizi kutoka Nakuru, Simon Bin Itegi, aliyekutana na Mohammed Khelef jijini Nairobi.