1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siasa za Austria baada ya uchaguzi zitachukua mkondo gani?

Zainab Aziz Salim-Mtullya3 Oktoba 2019

Katika makala haya ya mwangaza wa Ulaya wiki hii tunaangazia uchaguzi wa mapema uliofanyika nchini Austria, matokeo yake na mustakabali wa nchi hiyo kisiasa baada ya uchaguzi huo. Mtayarishaji na msimulizi ni Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/3QgJv