JamiiShule yaleta faraja huko SameTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiSaumu Mwasimba10.09.201810 Septemba 2018Shule ya awali iliyojengwa na vijana kwa hisani ya Wajerumani katika kijiji cha Ishinde huko Same Kilimanjaro nchini Tanzania imeleta faraja na matumaini mapya kwa watoto na wakaazi wa kijiji hicho.https://p.dw.com/p/34cjhMatangazo