Shule ya msingi ya Nyakinyua, Solai, kaunti ya Nakuru nchini Kenya imefungua tena baada ya kufungwa kutokana na mafuriko yaliosababishwa na kupasuka kwa kuta za bwawa la Solai na kupelekea vifo vya watu 47 wakiwemo wanafunzi wa shule hiyo. Wakio Mbogho ametemebelea shuleni hapo kujionea hali na hii hapa ni ripoti yake.