1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Utamaduni

Shuka maarufu la Maasai utambulisho wa utamaduni

8 Januari 2024

Wamasai ni jamii ambayo imeshikilia na kuhifadhi utamaduni wake ikiwemo vazi maarufu la shuka la Kimasai. Mwanamitindo wa Kenya ameamua kuleta ubunifu wa vazi hilo katika mitindo ya kisasa.

https://p.dw.com/p/4azIu