1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sheria mpya yapiga marufuku kulala nje mitaani Hungary

Daniel Gakuba1 Novemba 2018

Watu wasiokuwa na makaazi nchini Hungary wapigwa marufuku kulala nje mitaani na maeneo mengine ya umma! Watakaokiuka sheria hiyo kukabiliwa na adhabu kali! Je wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wanazungumziaje sheria hiyo mpya? Daniel Gakuba anaangazia zaidi katika makala ya Mwangaza wa Ulaya

https://p.dw.com/p/37VTi