Sherehe za miaka 46 ya Mapinduzi Zanzibar
12 Januari 2010Matangazo
Alielezea mafanikio yaliopatikana katika kipindi hicho, hasa chini ya utawala wake uliodumu sasa karibu miaka kumi, katika sekta za uchumi, jamii, utamaduni na siasa.
Mwandishi wetu Salma Said alikuweko katika shamrashmara hizo za sherehe za siku ya Mapinduzi huko Pemba, na ametutumia ripoti ifuatayo:
Wakati huo huo kuna ripoti za ajali iliyogharimu maisha visiwani Zanzibar. Othman Miraji anazungumza na mwandishi wetu Salma Said: