1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya Uganda yazidi kushinikizwa kuhusu watu kutekwa

Lubega Emmanuel8 Februari 2021

Wimbi la raia kukamatwa na wengine kutekwa nyara na watu wanaoaminiwa kuwa kutoka vyombo vya usalama linaendelea nchini Uganda licha ya waziri wa usalama kuhakikisha kwamba vitendo hivyo vitakomeshwa. Wabunge wanahoji kwa nini mienendo hii ya ukikwaji wa haki za binadamu inawalenga hasa wapinzani na kulikoni wasifikishwe mahakamani. Lubega Emmanuel alituletea ripoti hii.

https://p.dw.com/p/3p4GU