1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Senegal: Juhudi na kampeni za upangaji uzazi

30 Oktoba 2019

Afrika maghribi ni miongoni mwa maeneo duniani yenyeo viwango vya juu vya uzazi. Senegal hutizamwa kama nuru ya matumaini katika eneo hilo kuhusiana na uzazi, kwani wanawake wengi sasa wanatumia mbinu za kupanga uzazi kuliko zamani.

https://p.dw.com/p/3SDRy