1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sema Uvume: Kijiji Cha Mradi wa Amani Kivu Kaskazini

Sylvia Mwehozi18 Aprili 2023

Sema Uvume inakwenda mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika eneo la Kivu Kaskazini kuzungumzia mradi wa "Kijiji cha Amani" ambao unapambana na kuenea kwa habari za uongo haswa zinazohusiana na mizozo

https://p.dw.com/p/4QERY