1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

'Salamu za kheri' kuleta maridhiano kisiasa?

Zainab Aziz Salim-Mtullya3 Aprili 2020

Katika ushindani lazima kuwe na mshindi na mshindwa. Hata hivyo wakati mwingine matokeo ya ushindani wa kisiasa huzusha mvutano hasa ikiwa kuna madai ya udanganyifu pamoja na ukosefu wa haki. Katika makala ya Maoni, tunaangazia siasa za "Salamu ya Heri" Afrika Mashariki kama njia ya maridhiano.

https://p.dw.com/p/3aPSm