1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaKenya

Salamu maalum za sikukuu ya Eid ul Adha

28 Juni 2023

Maelfu ya Waislamu duniani kote wanasherehekea siku kuu ya Eid ul Adha, inayohitimisha ibada ya Hajj. Saumu Mwasimba anakupambia sikukuu hii kwa burudani la kuongoa nafsi na kupeperushia salamu zako za Eid.

https://p.dw.com/p/4TB8V