1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sakaja ashinda ugavana Nairobi

14 Agosti 2022

Aliyekuwa Seneta wa Nairobi Johnson Sakaja, amechaguliwa kuwa Gavana wa Kaunti ya Nairobi kupitia chama cha UDA cha Naibu Rais William Ruto, na kumbwaga mpinzani wake Polycarp Igathe kutoka muungano wa Azimio la Umoja unaoongozwa na Raila Odinga. Kufahamu wachambuzi wanautathmini vipi ushindi wa Sakaja, Grace Kabogo amezungumza na Herman Manyora mchambuzi wa masuala ya kisiasa akiwa Nairobi.

https://p.dw.com/p/4FVyS