Mwanamuziki wa muziki wa dansi wa Tanzania Saidi Tumba kwa sasa amekuwa balozi wa taifa hilo kwa kupiga ngoma mbalimbali za asili ya Tanzania katika majukwaa ya kimataifa. Zaidi msikilize katika kipindi cha Karibuni, mwanamuziki huyo mwenye maskani yake mjini London, Uingereza.