Tejveer Rai, mmoja wa madereva katika mashindano ya mbio za magari, amesafirishwa kupokea matibabu jijini Nairobi, baada ya gari lake kupata ajali, kwenye kinyang’anyiro hicho kilichong’oa nanga leo mjini Naivasha, Kenya. Madereva watano wanaiwakilisha Kenya kwenye mashindano hayo ya kimataifa yaliyowavuia wengi mjini Naivasha. Isikilize ripoti ya Wakio Mbogho